Kituo cha Television cha MTV BASE
kimepewa tena nafasi ya kuionyesha kwa mara ya kwanza video ya mdundo
mpya wa mwimbaji wa bongofleva Tanzania Diamond Platnumz time hii akiwa
na rapper wa South Africa AKA na huo mdundo unaitwa ‘MAKE ME SING‘
Mdundo huu mpya unadrop Ijumaa ya February 12 2016 ambapo toka February 9 Diamond Platnumz aliwaambia mashabiki zake wakae tayari kwa single mpya kama inavyosomeka Tweet yake hapa chini.
Vilevile Diamond anatarajia kwenda Marekani soon kwa ajili ya kufanya
kazi na Producer Swizz Beatz, Alicia Keys na kufanya video ya kolabo
yake na mwimbaji wa Marekani Neyo ambaye walisharekodi tayari audio,
tazama hii Interview hapa chini akiongelea hiyo na ishu nyingine.
0 comments:
Post a Comment