HAPA KAZI TU! Milioni 700 Zimepotea Air Tanzania, Maamuzi ya Waziri wa Uchukuzi ni Haya…(+Audio)


Serikali imebaini wizi wa takribani Milioni 700 katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kupitia kampuni ya wakala wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel ya Komoro.
Hapa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa anatoa maelezo yote, unaweza kumsikiliza
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment