VIDEO: Alichojibu KOFFI Olomide baada ya kuulizwa kuhusu DIAMOND Platnumz na Christian BELLA


Mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide ameshafika Dar es salaam tayari kwa ajili ya show ya Selfie16 kunogesha miaka 16 ya Clouds Escape One Mikocheni Dec. 8 ambapo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege, alihojiwa kuhusu zake na Diamond Platnumz zilizosikika pia na Christian Bella, bonyeza play kwenye hii video hapa chini upate uhondo wote.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment