Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a ‘El Chapo‘
ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta
mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya kutoroka gerezani alikokuwa
amefungwa.
El Chapo ambaye anatajwa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha dawa za kulevya na kuziingiza Marekani, amekamatwa akiwa nyumbani kwake Los Mochis, mji wa Sinaloa uliopo Mexico.
Kwa Rais wa Mexico hii ni good news kwake… kapost katika ukurasa wake Twitter akisema >’Kazi imekamilika.. Amepatikana !!‘< Rais Enrique Pena Nieto.
Hii hapa video yenye ripoti ya kukamatwa kwake mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment