Mbwana Ally Samatta akikabidhiwa tuzo
Ulivyoandika mtandao wa Wikipedia kuhusu uraia wa Samatta kabla ya kurekebisha
Ulivyoandika mtandao wa Wikipedia kuhusu uraia wa Samatta kabla ya kurekebisha
Mtandao wa Wikipedia baada ya kurekebisha taarifa za uraia wa Samatta
Pamoja na umahiri wa
mtandao wa Wikipedia lakini ajabu umeshindwa kujua uraia wa Mbwana
Samatta anayekipiga TP Mazembe ya DR Congo.
Badala yake umembandika
uraia wa DR Congo na Tunisia ikiwa ni saa chache baada ya kubeba tuzo ya
mwanasoka Afrika kwa wanaocheza barani Afrika.
Mtandao huo maarufu duniani
ulionyesha Samatta ni raia wa DR Congo. Lakini baada ya saa kadhaa
ulibadili na kuweka taarifa mpya inayoonyesha kuwa uraia wake ni
Tanzania ikiwa ni sehemu ya kurekebisha kosa hilo.
Ilivyoandika NBC ya Marekani
Kwa upande mwingine, mtandao wa runinga maarufu ya NBC ya Marekani, wao wamembandika Samatta uraia wa Marekani.
Kupitia mtandao wao wa www.nbcsports.com wameandika
Samatta ni mchezaji bora Afrika kwa wanaotokea ndani ya Afrika akiwa
anatokea nchini Tunisia!
Kabla ya hapo, mtandao mwingine wa wikipidia nao ulimbandika Samatta uraia wa RD Congo.
Mtandao huo maarufu duniani ulionyesha Samatta ni raia
wa DR Congo. Lakini baada ya saa kadhaa ulibadili na kuweka taarifa mpya
inayoonyesha kuwa uraia wake ni Tanzania ikiwa ni sehemu ya kurekebisha
kosa hilo.
0 comments:
Post a Comment