SIMBA SC Yachukua MAAMUZI MAGUMU!

KERR
Aliyekuwa Kocha Mkuu  wa Simba, Dylan Kerr.
Klabu ya Simba ya Dar es Salam imeamua kuvunja mkata wake na makocha wa timu hiyo akiwemo Kocha Mkuu Dylan Kerr pamoja na kocha wa makipa Idd Salim na sasa timu itakuwa chini ya Mganda, Jackson Mayanja.
Katika uamuzi huo uliofanywa mchana na kikao cha utendaji waliitwa makocha hao kwa pamoja na kukubali kuvunja mkataba kwa faida za pande zote mbili.
REKODI YA DYLAN KERR SIMBA SC;
Jumla ya Mechi; 30
Mechi alizoshinda; 19
Mechi alizofungwa; 5
Mechi alizotoa sare; 6
 

MATOKEO YA MECHI ZA SIMBA SC CHINI KERR; 
Simba SC 2-1 Zanzibar Kombaini (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 4-0 Black Sailor (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 2-0 Polisi (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 3-0 Jang’ombe Boys (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 3-2 KMKM (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 1-0 SC Villa (KIrafiki Simba Day)
Simba SC 2-1 URA (Kirafiki, Dar es Salaam)
Simba SC 0-0 Mwadui FC (Kirafiki, Dar es Salaam)
Simba SC 0-2 JKU (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 3-1 JKU (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 0-0 KVZ (KIrafiki Zanzibar)
Simba SC 1-0 African Sports (Ligi Kuu Mkwakwani)
Simba SC 2-0 JKT Mgambo (Ligi Kuu Tanga)
Simba SC 3-1 Kagera Sugar (Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 0-2 Yanga SC (Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 1-0 Stand United (Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 1-0 Mbeya City (Ligi Kuu Mbeya)
Simba SC 0-1 Prisons (Ligi Kuu Mbeya)
Simba SC 1-0 Coastal Union (Ligi Kuu Mbeya)
Simba SC 6-1 Majimaji FC (Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 5-2 Kimbunga FC (Kirafiki Zanzibar)
Simba SC 2-2 Azam FC (Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 1-1 Toto Africans (Ligi Kuu Kirumba)
Simba SC 1-3 Geita Gold Mine (Kirafiki Geita)
Simba SC 1-1 Mwadui FC (Ligi Kuu Kambarage)
Simba SC 1-0 Ndanda FC (Ligi Kuu Nangwanda)
Simba SC 2-2 Jamhuri FC (Kombe la Mapinduzi)
Simba SC 1-0 URA FC (Kombe la Mapinduzi)
Simba SC 1-0 JKU FC (Kombe la Mapinduzi)
Simba SC 0-1 Mtibwa Sugar (Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi)
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment