Joh Makini, G-Nako na Vanessa Mdee Waingia Studio Kuandaa Kazi Mpya


Ni kazi baada ya kazi. Joh Makini na G-Nako pamoja na Vanessa Mdee wameingia studio ya The Industry na producer Nahreel kwa ajili ya maandalizi ya kazi mpya.
Kupitia Instagram, Joh Makini ameandika: 
Cooking #GoodMusicFamily #theindustrystudio unajua vile inakuaa G.Nako, Vanessa, Chinbees and Ahpha #January 2016.”
The Industry imekuwa na chemistry nzuri na wasanii hao baada ya kutengeneza hits zao kadhaa.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment