Kama vile ambavyo kuna parking zipo katikati ya Dar es Salaam na miji mingine mikubwa Tanzania, parking ya ghorofani kabisa basi ujue kwamba iko na ya chini ya ardhi !!
Kama una imani na unavutiwa na utaalam wa kichina basi unaweza kucheki video hii hapa chini jinsi ambavyo wachina wamebuni parking yao ya magari ya chini ya ardhi.
0 comments:
Post a Comment