Akitumia lugha ya mafumbo na moja kwa moja alisema hata ukiwa na fedha
hata ukiwa na uwezo wa kufoji documents jua serikali ipo tena ya
Magufuli.
Akauliza
hivi wakazi milioni nne wa DSM wakiamua kuvamia na kutwaa eneo lao
utaenda wapi? Kwanini msitafute maeneo sehemu nyingine na si hili la
wanyonge wanapopumzikia?
0 comments:
Post a Comment