Na Hili Ndio Jina Alilopewa Mtoto wa Kiume wa KANYE West na KIM Kardashian…!

Zimepita siku chache tu toka familia ya staa wa muziki wa HipHop Marekani, Kanye West ipokee ugeni wa mtoto wao wa pili kwenye familia yao, ugeni wa mtoto wa kiume… na toka taarifa hiyo isambae na kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na hamu kubwa sana ya watu kujua mtoto huyo atapewa jina gani!?


North West.
Kama wewe ni shabiki na mfuatiliaji mkubwa wa Kim Kardashian na Kanye West basi ikufikie kuwa mdogo wake North West ameshapewa jina na jana wazazi wake waliitangazia dunia nzima kuwa yule mgeni aliyeongezeka kwenye familia yao sasa anaitwa ‘Saint West’!
SAINT2
Kanye West na familia yake.
Kupitia website yake, Kim Kardashian aliwaandikia mashabiki wake… >>> “Kwa mashabiki wetu. Saint West, 12.05.15 Kilo 8.” <<< badaaye akapost picha hii kupitia page yake ya Instagram @kimkardashian kulithibitisha jina jilo…
saint
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment