Oparesheni ya TANESCO kukagua nyumba kwa
nyumba, mtaa kwa mtaa imeendelea kama ambavyo kumekuwa na story kwenye
vyombo vya habari !!
Story imegusa mitandaoni, ikamfikia Soudy Brown… leo akaanza na kiongozi wa TANESCO, jamaa amesema walifika wakagundua kuna tatizo kwenye mfumo wa mita ya LUKU nyumbani kwa Wema, walipohitaji maelezo ya wanaoishi kwenye nyumba hiyo, Wema hakuwepo na badala yake akatokea Idris.
Soudy Brown akageuka kumcheki Idris… Idris amesema alikuwa anapita kwenda kwenye mishemishe zake ndio akakutana na ishu hiyo ya TANESCO nyumbani kwa Wema, ila hajui chochote kinachoendelea kwa sababu haishi na Wema kwenye nyumba hiyo.
U Heard hii hapa kwenye sauti yote mdau wangu.
0 comments:
Post a Comment