Mkanda wa ‘NGONO’ Kusambaa: KANYE WEST Atumia Zaidi ya Milioni 130 Kuuzuia, Mkanda Huo Umemuhusisha Nani? Shuka Nayo Hapa...

Star wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ameamua kutoa kiasi cha dola milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.

Kwa mujibu wa mtandao wa US, msanii huyo aliamua kafanya hivyo kwa kuwa ndani ya filamu hiyo kuna mrembo anafanana na mke wakewe Kim Kardashian.
“Nimeona bora nifanye hivyo kwa kupunguza maneno ambayo yangejitokeza, ni filamu ambayo ina mambo mengi ndani yake, lakini inaweza kuharibu mwonekano wa familia yetu japokuwa hakuna mhusika ndani yetu,” alisema Kanye.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment