Mdundo Mpyampya #OnAIR… Young Killer Feat. Juma Nature- ‘Popote Kambi’ (+Audio)

Rapper mdogo anayewakilisha Rock City Mwanza, Young Killer ‘Msodoki‘ amerudi kwa kuisogeza ngoma nyingine kali kwenye masikio yetu…
Unajua Young Killer ni rapper mkali sana… na najua unaijua heshima aliyonayo mkongwe Juma Nature kwenye Bongo Fleva… wamekutanishwa kwa pamoja kwenye hii ngoma !! Fleva yake je??!!
Dakika zako tatu hapa kuisikiliza hii mtu wa nguvu >> Young Killer Feat. Juma Nature– ‘Popote Kambi
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment