Huu mchezo wa kutembea juu ya kamba sio mchezo wa kawaida, hata mwanaume kupata ujasiri wa kutembea juu ya kamba yataka moyo !!
Lakini wapo ambao wako poa kabisa na
wanajiamini kwamba wanaweza kukatisha bila hofu yoyote, unajua kwamba
kuna wanawake waliothubutu kuvaa high heels na kutembea juujuu kwenye
kamba ??!!
Wacheki hapa mdau wangu alafu uniambie kama wewe unaweza kuwa na ujasiri huo ?!!
0 comments:
Post a Comment