Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, kutoyajua mapenzi yale ya faragha ni mojawapo.
Wapo wasichana au niseme wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana.Wamejaaliwa uzuri wa sura na kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana naye.
Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonekano, pia wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha baadhi ya wanawake wazuri.
0 comments:
Post a Comment