December 3 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Simon Msuva winga mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na Dumy Utamu mkali wa kudance kutoka familia ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz, wote hawa wanakumbuka siku yao ya kuzaliwa kwa pamoja, kwa kuwa ni marafiki basi wakaamua usiku wa December 3 kufanya Birthday Party yao kwa pamoja na kualika watu kadhaa.
Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 25 kutoka katika Birthday Party ya Simon Msuva na Dumy Utamu ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz. Video ya Birthday Party soon nakusogezea katika Ayo Tv.
Kabla ya keki kukatwa burudani ya muziki ilianza
Birthday Boy Simon Msuva akiongea na waalikwa kabla ya kukata keki
Ikafika zamu ya Dumy Utamu kuongea na waalikwa kabla ya kukata keki
Mdogo wake Simon Msuva ambaye anaitwa James Msuva akiwa na shemeji yake Munira.
Baadhi ya jamaa wa karibu wa Msuva na Dumy
Mtangazaji wa redio Asha Manga akiwa pamoja na member wa Makomando Muki
Fred kutoka kundi la Makomando alisimamia zoezi la kufungua champaign
Champaign ikipita kwa kila mtu ila ilianza kwa Birthday Boy Msuva
Simon Msuva na jamaa wanayefanana nae ila sio ndugu anaitwa Shabani Juma
Kutoka kushoto ni shemeji yake Msuva, dada yake Msuva ambaye anaitwa Mary Msuva pamoja na Shabani Juma
Zoezi la kumwagiwa maji likaanza Dumy akakimbia na kumuacha Msuva akiogeshwa.
Muki na Msuva wakicheza muziki kidogo
Simon Msuva akiwa na dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo ambaye alikuja kushow love na Msuva na Dumy pamoja na jamaa akitoa ushirikiano katika picha.
Kutoka kushoto ni Munira, Mary Msuva na rafiki wa Msuva
Warembo pia walikuwepo kushow love na Msuva
Mary Msuva alikuwa wa kwanza kula keki kwa upande wa Simon Msuva
Birthday Boys wakilishana keki
Birthday Boys wakilishana keki
Simon Msuva akimlisha keki mdogo wake James Msuva ambaye nae yupo Yanga.
Ikafika time ya Mose Iyobo kupata kipande cha keki
Simon Msuva na Makomando
Simon Msuva na mchezaji mwenzake wa Yanga na timu ya taifa Juma Abdul
Mrembo katika picha ya pamoja na Simon Msuva
0 comments:
Post a Comment