Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa
lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo
mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya
wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo
ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa
Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za
Watu 2015 pamoja na AY walisafiri kwenda Kenya kuhudhuria uzinduzi huo.
Itazame hapa
0 comments:
Post a Comment