VIDEO: Big Brother Africa: Tazama Mshiriki wa kiume wa Tanzania ( Idris ) akioga na mabinti wawili!

Wakati mtanzania mwingine Laveda ameondolewa katika jumba la Big Brother jana usikku. Hapo chini kuna video ya mshiriki wa kiume wa Tanzania ( Idris ) akiwa bafuni na mabinti wawili wakioga...
Kama kawaida, washiriki wa Tanzania wanajitahidi kutunza heshima zao kwa kuoga kistaraabu ila kwa wengine mmmh majanga tupu!

Unataka kuiona video? << INGIA HAPA>>
Ingia hapo juu kuiona video
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment