Ni katika wito. Stori aliyonipa ni kwamba yeye, hakuwahi kumpenda mtu, zaidi ya kutolewa bikra kwa nguvu (forced sex) na kijana mmoja waliyeishi nae jirani zamani hizo.
Hivyo akaomba mahusiano yangu na yeye yawe ya pole pole na si haraka kwani bado ana chuki na wanaume. Aliongea kwa uchungu, huku machozi yakimtoka. Baada ya kumbembeleza tulijikuta tukifanya mapenzi mimi na yeye bila kupanga tena kavu kavu. Baada ya tendo hilo hakuamini kilichotokea na aliondoka kwa uchungu mkubwa akidai na Mimi ni wale wale. Kiufupi sikumsoma. Iweje aingie King halafu ananilaumu.
Anyway nikapotezea, coz hata Simu zangu akawa hapokei, waka text hajibu. Nikatulia zangu. Baada ya wiki mbili akanipigia Simu, akiomba msamaha eti hakujielewa. Nikaona haina haja kuweka bifu na binti, nikapotezea. Maisha yakaendelea.
Sasa kila wikiendi akawa anakuja kwangu, tunagegedana, nikimpa mshiko anaukataa, hata nikimtumia vocha hazitaki wala Zawadi yoyote hataki zaidi ya mgegedo. Basi tumekuwa tukifanya hivyo kwa muda mrefu sana. Kitu kinachonishangaza hapa ni huo ujasiri wa binti kukataa tip kutoka kwa dume unatoka wapi?
Je, kazi yangu ni kugegeda tu na matumizi anatoa mwingine?
Au, nini kipo nyuma ya pazia
Nawasilisha, nisaidiwe kujua tabia hii maana yake nn?
0 comments:
Post a Comment