Kaka Hana Uwezo wa Kupata Mtoto, Je Naweza Kumsaidia Kumpa Mkewe Ujauzito?

Najua hapa kuna wenye ujuzi na hekima na busara.
Hoja ni jee ikiwa kaka yangu wa baba na mama mmoja ana mke, na ameishi nae kwa miaka zaidi ya tisa lkn hawajapata mtoto. ila huyu mwanamke ana mtoto aliempata kwa mnmumewingine kabla ya kuolewa na kaka mimi nimeoa miaka sita ilopita na tayari mke wangu ana watoto wawili.

Sasa ktk ndoa ya kaka tayari kuna minong'ono kuwa kaka ndie tatizo maana jamaa hajawahi hata kusingiziwa mtoto mitaanirafiki wa familia yetu mmoja amenishauri nifanye mpango wa siri na shemeji ili ikiwezekana nihakikishe anapata uja uzito uhusiano wangu na shemeji yangu ni mzuri na niwakaribu. na mara nyingi tunapotoka na wife huongozana nae kwasababu ya majukumu yake.

Je, naweza kukubali ushauri huo kwa siri ili kurejesha amani ya kaka? Lakini ili kulinda heshima ya familia yetu, inabidi angalao shemeji atuletee mtoto.
Wandugu, niambieni naweza kumsaliti kaka kulinda heshima ya familia?
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment