Narudia kwa mara ya mwisho kwenye acc yangu sitaki watu wenye ushabiki wa kijinga....sitaki matusi...hivi unaposema tutaburn cd hatununui tena unafikiri unanikomoa mimi peke yangu...zile library na maduka ya CD zote za wana CCM????hii ni tasnia walianza akina marehemu Mzee Jongo,Small na wengine mpaka ikafika kwetu nani anajua baada ya sisi pengine atakuja mwanao...Baba yake Sharukh Khan hakujua kama baada ya Mithun atakuja mwanae...mbona sisi tunashirikiana na wasanii wa UKAWA.
JB aliandika hayo mara nbaada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Shamsa Ford ambaye ni mwana UKAWA.
0 comments:
Post a Comment