Mastaa mbali mbali wa muziki, wabunifu wa mavazi na wana mitindo wa Tanzania wanawania tuzo za ‘Style & Fashion Awards 2015’ (ASFAs) za Uganda. Tuzo hizo zitatolewa December 12 kwenye hoteli ya Serena jijini Kampala, Uganda.
Muimbaji wa Ole Themba, Linah Sanga yuko kwenye orodha ya wasanii waliopangwa kutoa burudani kwenye tuzo hizo. Msanii mwingine atakayetoa burudani ni muimbaji wa RnB kutoka Nigeria Banky W.
Wanaoiwakilisha Tanzania kwenye tuzo ni hawa:
0 comments:
Post a Comment