Deniss Sweya ‘Dino’ amesema ukama wa kazi mpya kwenye soko la filamu kwa sasa unatokana na ugumu wa bajeti za kutayarisha.
Alisema kipindi cha nyuma filamu zilikuwa zinauzika na kutengeneza ajira nyingi kwa vijana kutokana na maandalizi kuwa katika viwango vya kawaida tofauti na sasa ambapo ili kazi iuzike ni lazima iwe ya kiwango cha juu.

“Bajeti zinabana sana na ukitaka kupata kitu kizuri lazima kujipanga ili kukusanya mashabiki wengi na ambao watakubali kazi iliyotokaalisema.
Licha ya bajeti, Dino alidai kuwa wingi wa kampuni za filamu ni chanzo cha soko kuwa baya kutokana na kufurika kwa kazi nyingi za kampuni mbalimbali.
Chanzo: Lete Raha

0 comments:
Post a Comment