Baada ya Kuchemka UBUNGE, Irene UWOYA Arudi Mzigoni na Kutoa Fursa Hii!

Baada ya mikikimikiki ya uchaguzi kuisha, Staa mrembo wa Bongo Movies ambate alikuwa akiwania nasi ya Ubunge kupitia viti maalum , Irene Uwoya amerudi tena kwenye fani yake na sasa yupo kwenye maadalizi ya kazi yake mpya.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram Uwoya ameandika
"Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawahi kuigiza! kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…swali la kwanza!ntajie wasaniii watatu wanao kuvutia na kwanini?".
Kazi kwenu wadau.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment