NEW YORK, Marekani
WIMBO wa hivi karibuni alioutoa Mwanamuziki Rick Ross akimshirikisha Chris Brown unaokwenda kwa jina la Sorry, umeibua maswali kutokana na mashairi yake kuwagusa wapenzi wa zamani wa Chris, Karrueche Tran na Robyn Rihanna Fenty.

Wadau
baada ya kusikiliza wimbo huo wamebaki njia panda huku wakishindwa
kuelewa wimbo huo ni maalum kwa nani kati ya wawili hao. Hata hivyo,
wengi wanaamini Sorry ni kwa ajili ya Karrueche baada mshkaji huyo
kubainika ana mtoto wa siri aliyezaa na mwanamke mwingine.
Wengine wanadai mashairi yaliyomo
kwenye wimbo huo yanamgusa moja kwa moja Rihanna. Ndani ya Sorry,
Chris amejaribu kuonesha majuto yake kwa kumuumiza mpenzi
wake (hakumtaja) na kuahidi kuwa mwema kwa atakayempata baadaye.
0 comments:
Post a Comment