NEW YORK, Marekani
MASTAA Nicki Minaj na laazizi wake Meek huenda wakafunga ndoa wiki hii baada ya mtu wa karibu na Meek kufunguka kuwa mishe za shughuli hiyo zimeanza kwa siri.
Akisambaza umbea kwenye mtandao mmoja wa
habari za mastaa, sosi huyo alisema ndoa ya mastaa hao inatarajiwa
kufungwa jijini New York baada ya kumaliza shoo ya
Tidal ambayo walitarajiwa kuifanya.
Imeelezwa kuwa, wazazi wa pande zote mbili wameridhia kufanyika kwa zoezi hilo ingawa bado haijajulikana sherehe itakuwa ya aina gani na lini kwani mambo yamekuwa yakienda kwa siri sana.
Imeelezwa kuwa, wazazi wa pande zote mbili wameridhia kufanyika kwa zoezi hilo ingawa bado haijajulikana sherehe itakuwa ya aina gani na lini kwani mambo yamekuwa yakienda kwa siri sana.
0 comments:
Post a Comment