Hii itakuwa rahisi sana mdau, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?
Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mdau, pata picha unasafiri kwa mara ya kwanza kwenda China, unaingia mgahawani, unapewa menu imeandikwa kichina, unaanzia wapi kwanza? Google wanatusogeza hapa, google translate app itakusaidia kama unayumia smartphone yako unaweka app hiyo halafu unaanza kuitumia, mfano unakutana na bango lenye maandishi unafungua app, unaionyesha camera ya simu kwenye maandishi hayo unapiga picha, kwenye kioo cha simu inakuonyesha maana ya neno hilo!
Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mdau, pata picha unasafiri kwa mara ya kwanza kwenda China, unaingia mgahawani, unapewa menu imeandikwa kichina, unaanzia wapi kwanza?
Mbali na hivyo app hiyo inaweza kukutafsiria kwa sauti hata kile ambacho mtu anakiongea, yenyewe inakupa tafsiri kwa lugha unayotaka.
Ni rahisi tu, hauhitaji kuwa na internet ili uitumie, ni app ambayo inafanya kazi hata kama huna bundle mtu wangu, inapatikana bure kwa wanaotumia android na iPhone pia.
Ni rahisi tu, hauhitaji kuwa na internet ili uitumie, ni app ambayo inafanya kazi hata kama huna bundle mtu wangu, inapatikana bure kwa wanaotumia android na iPhone pia.
Cheki app hiyo kwenye video hii.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142


0 comments:
Post a Comment