Ebwanae, unakumbuka story inayohusu biff la Jay Z na Dj mkubwa Marekani "Funk Master Flex"? Kumbe inasemekana Flex amemind kisa Jay na kundi la wawekezaji wana mpango wa kununua kitua cha radio (anachofayia kazi Flex) cha Hot 97. Na wala sio kama ilivyosambaa kwamba ni labda kuhusu beef la kina dipset na kitu kama hivyo, lakini habari katika mtandao wa Media Take Out umethibitisha kuwa ni kweli.
Jay Z” pamoja na wawekezaji wengine kama NY Knicks, Star Carmelo Anthony wako katika makubaliano ya kununua kituo cha radio cha Hot 97.Maongezi yanasemekana bado yapo katika hatua za mwanzo mwanzo lakini inasemekana kuwa tayari pande zote mbili zimeshatafuta mawakili na Bank za uwekezaji na wako serious kukamilisha dili hiyo.
Inaonekana Funkmaster Flex haijakubaliana na idea hiyo ya Jigga kumiliki kituo cha Radio.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment