Wawili hawa mbali na kufanya kazi kama baba na mwana hakuna ata mmoja aliyedhania kama watafika hapa walipofikia. Bird man na Lil Wayne wameingia kwenye bifu baada ya Wayne kucheleweshewa kwa album yake. Chanzo kingine cha bifu hili kuongezeka ni baada ya kujulikana kuwa Wayne ameshauriana na mshauri wake na kuamua kwenda kumshtaki Bird man amlipe hela zake kiasi cha dolla million nane $8000,000 Taarifa kutoka tmz.com inasema kuwa Bird man amekiuka masharti ya mkataba walio kubaliana na Wayne hivyo wayne hana budi kumshtaki.Wayne anasema Bird anamdai dolla millioni nane $8000,000 kutokana na kucheleweshwa kwa album yake ya "Calter V". ambayo ilitakiwa kutoka mapema.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment