HATIMAYE ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA EATV, TEDDY KALONGA APATA URAIA WA MAREKANI

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.

Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia wa kigeni.

“Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,” ameandika Teddy ambaye pia ni mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost Instagram.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment