LIL WAYNE AMCHANA LIVE BABA 'AKE KWENYE TRACK YAKE!

Baada ya kudondosha mixstape yake ya kuwaomba mashabiki msamaha inayoitwa
 "sorry 4 the wait 2" kwaajili ya kuchelewa kutoka kwa album yake ya "Carter V"
 Katika baadhi ya track zilizomo kwenye mzigo huo Wayne ame tiririka moja kwa moja mpaka kwa Bird man na kumchana katika moja ya track yake iitwayo "coco"
Kwenye mistari ya track hiyo amesikika akisema
"who kept this s**t together,n***a me,that's who....
who was there when n****as left,n***a,me that's who...
cash money is an army,i'm a one man army....

Cover ya mixtape ya lil wayne "sorry for the wait 2"

Ukijaribu ku tafakari hayo mashairi unapata jibu fika jamaa yupo serious na hii ishu kwa bird man. 
Na pia kwenye mixtape hiyo amezungumzia kutoka kwa msanii Tony montana katika kundi la cash money kwenye track ya "Scarface"

Mpaka hapa tuna dhahili kuwa Wayne na Bird man beef lao sio nusu nusu bali ni asilimia mia kabisa.
HABARI NJEMA NYINGINE KWA MSANII DIAMOND PLATINUMZ! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!  
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment