JEURI YA FEDHA: DAVIDO AONESHA SEHEMU YA UTAJIRI WAKE MTANDAONI!

 
Davido a.k.a Obo ame post picha katika page yake ya instagram na kuonesha baadhi ya magari yake ya kifahari aliyo yapata kupitia kazi yake ya muziki.Davido aliandika;
"them sleepless nites all makes now 100%  
Aina ya gari alizopost ni Range rover, Suvs na G wagon na kuandika kuwa ni juhudi zake za kuto lala usiku kucha na hatimae ndoto zake kutimia.
Hizi ni baadhi ya picha alizo post kwenye page yake!

 INASIKITISHA SANA! MTITU WA BONGO MUVI AELEZA ALIVYOTESEKA USIKU KUCHA! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO. 
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment