Nyota mdogo mcheza kikapu mwenye umri wa miaka 21 Shanice Clark amefariki dunia mara baada ya kukabwa na big G wakati akiwa amelala. Shanice Clark (21) alikua mwanafunzi wa chuo cha Pennsyvani mji wa Califonia, alifariki akiwa katika bweni lake la chuo wakati akiwa amelala mida ya saa tisa na nusu usiku wa kuamkia leo.
Wenzake wanadai kua,Shanice Clark alilala huku akiwa anatafuna big G ghafla akakabwa, walipojaribu kumkimbiza hospitalini lakini jitihada zao hazikufanikiwa kwani alikua ameshafariki.
Polisi wamethibitisha kwa kifo mwana michezo huyo wa mpira wa kikapu.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment