KANYE WEST AFUNGUKA KWA NINI HATABASAMU

Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West.
Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West amefungukia sababu inayomfanya asipende kutabasamu hasa akiweka pozi mbele ya mapaparazi na kudaiwa kuwa siyo kwamba hana furaha. 

Kwa mujibu wa Mtandao wa E! News, Kanye West  alisema kuwa mara nyingi akitazama picha za watu wakiwa wamevaa vizuri hugundua hawatabasamu kwa sababu picha zao haziwi poa wakitabasamu. 

“Hata picha za wafalme kwenye makasri hawatabasamu kwa sababu picha haiwi kali ukitabasamu. Mapaparazi mara nyingi hunifuata na kuniuliza kuhusu hili lakini nadhani kutotabasamu kwangu kunanifanya nitabasamu,” alisema Kanye West .
SAMAHANI KWA PICHAZ HIZI: MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR! 
===>>JIONEE HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment