Mmoja kati ya majambazi waliokamatwa akiwa amelala chini baada ya kujeruhiwa na polisi.

...Jambazi huyo akiwa katika gari la polisi.
Polisi wakiwa katika tukio hilo.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio hilo. Majambazi wamekamatwa Darajani Zanzibar jana baada ya kufyatuliana risasi na polisi wakati wakijaribu kukimbia. Katika tukio hilo wananchi kadhaa waliruhiwa kwa kugongwa na gari katika harakati za majambazi hayo kukimbia. Polisi imewatia mbaroni majambazi watatu baada ya wananchi kutoa ushirikiano. PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
(Habari/Picha: Globa Whatsapp +255 712 919 142)
0 comments:
Post a Comment