Kama inavyoonekana hapo juu, msemo huo una maana kubwa sana ingawa watu wengi tunapuuzia misemo inayotolewa mitandaoni. Ila kiukweli kabisa ukitaka upendwe mpaka ukimbie nyuchi chumbani ni kusaka sana pesa na kuzinyaka na pia kuweza kuzitunza zisikukimbie.
Nyie wanaume mnaopopoteza wakati wenu kusaka wanawake, MKOME KABISA...muda huo utumieni kutafuta pesa kwa kadri ya uwezo wenu...wanawake wapo na watakuwepo tuu pesa ikiwepo...isipowepo. Usipokuwa na pesa huyo uliyempata kwa nadra bila pesa atagongwa mpaka nyuma na mtu mwingine mwenye nacho. SHENZI TYPE NINYI MSIOELEWA, JIPANGE!
0 comments:
Post a Comment