Jamani mimi ninaitwa Tina, mkazi wa Dar es salaam.Ninaombeni ushauri wenu kwa maana ninashindwa kujua nifanyaje angali niliamini kuwa baba yangu ndio kila kitu kwangu na pia ni mlizi wangu lakini wapiiiiii!
Eti ananiomba nimpe tamu yangu kila siku, hasa mama akiwa amesafiri kwenda mkoani kwa shughuli zake za kibiashara.
Ananiahaidi mambo mengi ikiwemo kunipeleka Ulaya kusoma na pia kuninunulia gari pamoja na zawadi nyingine yeyote nipendayo. Kwangu mimi hii ni hatari kabisa kama si gharika kwa maana ninamuheshimu sana baba yangu- mama ndo usiseme.
Ninaona sasa ghasia zinazidi kwa maana anaingia mpaka chumbani kwangu huku akinipigia magoti na kulia kabisa kwamba nimpe tuu, hata mara moja haina shida.
Mimi nanaishia tuu kulia, kufadhaika na kusikitika sana kwa sababu maswali mengi yanagonga bongo langu. Kwa mfano ninajiuliza je, huyu ni baba mzazi kweli ama ni wa kubambikiwa alafu ukweli siambiwi na pia wakati mwingine ninahisi kuwa ameenda kwa mganga akapewa hayo masharti ili apate pesa!
0 comments:
Post a Comment