MANENO MAZITO ALIYOYAANDIKA HASHEEM THABIT KWA MASHABIKI WAKE!

MIMI NI BINADAMU NA NAKOSEA KAMA WATU WENGINE TU. NA NINA MAMBO MENGI YANAENDELEA NIKIWA KAMA BINADAMU NA SIO KUWA NARINGA KWA AJILI YA USTAA AU KITU GANI.

MWISHO WA SIKU SOTE TUNAPITA TU HAPA, JANA ILIKUWA WAO, LEO MIMI, KESHO KUNA WENGINE WANAKUJA. HILO MUNGU NDIO ANAJUA.

NA KAMA HAUJAPATA HIYO NAFASI SIKU MOJA TUTAKUTANA. INSHALLAH
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment