KUTANA NA RAISI WA MATAJIRI WOTE DUNIANI NA MALI ANAZOMILIKI ZIKO HAPA.


Anajulikana kwa jina la Carlos Slim Helu mwenye utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani $69 billion, anamiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba za bei ghali zikiwemo hata ndege binafsi na yatch zifuatazo ni mali anazomiliki pamoja na manyumba na magari na vitu vyenye thamani.

Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani...

Ana ndege 58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa


Ndani ya ndege hizo 58 kuna 15 helicopters zingine zilizobaki ni ndege 43


Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii

Pia ana Yacht 4


Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool




Mshahara wa Raisi wa Russia wenye thamani ya $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani $700,000.. 

PICHAZ: INASIKITISHA SANA...KIJANA AJINYONGA CHUMBANI KWA WATOTO WAKE...!BOFYA HAPA
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment