WAMETISHA SANA...KUTANA NA WANASOKA NYOTA WENYE USAFIRI WA NGUVU DUNIANI...!


Anajulikana kwa jina la Lionel Messi anamiliki gari aina ya Maserai GranTurismo MC Stradale.Gari hii inathamani ya dola za kimarekani  $143,000.
 
Hii ni gari ya Mcezaji wa Manchester United Wayne Rooney aina ya  Overfinch Range Rover

Hii ni gari wa winga wa Real madrid mchezajii Cristiano Ronaldo aina ya BMW M6/Lamborghini Aventador

Hii ni gari ya mchezaji Mario Balotelli aina ya  Audi R8/Maserati GranTurismo MC Stradale
Gari hii ni ya mchezajii Fernando Torres aina ya  Aston Martin DB9

Nadhani utakuwa unamkubuka vema mchezaji David Beckham ambapo kipindi cha nyuma alishawahi kuvuma sana na magari yake laikini mpaka sasa anaendelea kufanya vizuri kwenye wachezaji wanaomiliki magari yenye thamani hii ni gari yake aina ya  Jeep Wrangler/Porsche 911 Turbo/Rolls-Royce Ghost.

Beckham kwa sasa ambaye amejikita zaidi kwenye maswala ya biashara na kuacha soccer la kulipwa.

Anajulikana kama Clint Dempsey akiwa ni mchezaji kutoka marekani anaye ongoza kwa kulipwa vizuri kuliko wote marekani anamiliki gari aina ya  Ford F-150 Raptor

Tuna maliza na mcheza Andres Iniesta yeye ana milki gari aina ya  Bugatti Veyron.
UTAMU WA MAPENZI: STYLE 5 MURUA MATATA KUNAKO UWANJA MPANA...!BOFYA HAPA...!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment