MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA


Mulipuko wa bomu umetokea katika duka kubwa la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, jijini Abuja, Nigeria.


Vikosi vya zimamoto vikiendelea kuzima moto.



...Askari wakiendelea na ulinzi baada ya mulipuko wa bomu kutokea.
Mlipuko wa bomu umetokea saa moja kabla ya mechi ya Kombe la Dunia Nigeria dhidi ya Argentina katika duka la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza na kuua watu 21 wameaga dunia 17 na zaidi wakiuguza majeraha baada ya bomu kulipuka Abuja Nigeria!.
KUTAZAMA VIDEO BONYEZA PLAY HAPA CHINI 


PICHAZ: HUREEEE...NIGERIA TIMU YA KWANZA KUTINGA 16 BORA KUTOKA AFRIKA!!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment