MAXIMO ATUA DAR

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

Polisi akidumisha ulinzi wakati wa mapokezi ya Maximo.
Maximo akiwanyooshea mkono mashabiki wa Yanga.
6 HOT PHOTOS: JAQULINE WOLPER KATISHA SANA KWA STYLE HII...BOFYA HAPA
Mashabiki wa Yanga wakipozi na kocha wao mpya.
Kocha Marcio Maximo ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. Maximo amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mashabiki wa Yanga.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment