MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI

Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki.
Askari katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao wa pikipiki. Madereva hao walionekana kukerwa na kuzuiwa kumuadhibu kijana huyo na hapa walionekana wakilalamika.
MAKUBWA NA MAZITO HAYA: FLORA MBASHA AMTESA VIBAYA MUMEWE...BOFYA HAPA
Jamaa wa nje akatamani kupita katikati ya Nondo hapa.
WAMETISHAA: VIDEO MUPYA KALI TOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ NA MASTAA KIBAO WA AFRICA...BOFYA HAPA!
Geti likafungwa na hakuna mtu aliyepita.
KIMENUKA CHADEMA...VIONGOZI WAKE WAKUU LAWAMANI...!SHUHUDIA HAPA...!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment