COLOMBIA YAICHACHAFYA UGIRIKI

Colombia wakishangilia bao la kwanza.

IVORY COAST WAITOA KIMASOMASO AFRIKA. INGIA HAPA
Teofilo Gutierrez akiifungia bao la pili Colombia katika dakika ya 58.
TIMU ya taifa ya Colombia imeishushia kichapo cha bao 3-0 Ugiriki katika mechi yao ya kundi C kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Wafungaji wa Colombia ni: Pablo Armero 5, Teofilo Gutierrez 58 na James Rodriguez 90.
VIKOSI:
Colombia: Ospina, Zuniga, Zapata, Yepes, Armero (Arias 74), Sanchez Moreno, Aguilar (Mejia 69), Rodriguez, Cuadrado, Gutierrez (Martinez 76), Ibarbo.

Benchi: Vargas, Carbonero, Balanta, Bacca, Ramos, Quintero, Valdes, Mondragon.
Kadi za njano: Sanchez Moreno.
Mabao: Armero 5, Gutierrez 58, Rodriguez 90.
Ugiriki: Karnezis, Manolas, Torosidis, Papastathopoulos, Holebas, Maniatis, Katsouranis, Kone (Karagounis 78), Salpingidis (Fetfatzidis 57), Gekas (Mitroglou 64), Samaras.
Benchi:  Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis, Vyntra, Christodoulopoulos, Samaris, Tachtsidis, Kapino.
Kadi za njano: Papastathopoulos, Salpingidis.
Mahudhurio: 57,174
Mwamuzi: Mark Geiger (Marekani).
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment