VIDEO: Shuhudia Trey Songz Alipomfanyia Massage Shabiki wa Kike Jukwaani Mbele ya Mamia


Trey Songz ni mwimbaji staa wa Marekani ambaye amekua akitajwa katika list ya Waimbaji wanaopendwa na mabinti na hata nyimbo zake zimekua za mapenzi kwa asilimia kubwa, sasa kwenye hii video hapa chini jamaa alikua anafanya yake kwenye stage akaamua kunogesha na kumfanyia massage shabiki…

Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment