HapaKaziTu: Rais MAGUFULI Kaziachia Bilioni 18.77 Tayari…! (+Audio)

Siku chachetu baada ya kuuanza mwaka 2016, Tayari ile ahadi ya Rais John Pombe Magufuli kuhusu kuoa elimu bure kwa Watanzai imeshaanza kutekelezeka. Hapa chini nakukutanisha na Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango akielezea utekelezwaji huo, bonyeza play au download kusikiliza
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment