VIDEO: Shuhudia Jinsi Barabara za Juu Zinavyojengwa… Usifikiri Watakorogea Zege Ubungo!

Moja ya ahadi za Rais Magufuli ni kujenga barabara za juu kwenye jiji la Dar es salaam kwenye maeneo ya Ubungo na TAZARA, sasa wakati tunasubiri kuziona hizo barabara za juu najua wengi wetu hatujui hata wanazijenga vipi ndio maana nimekuletea hii video hapa chini ujionee.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment