Utafiti unaonyesha watoto wanaonyonyeshwa miezi sita bila kula kitu chochote wanakuwa na kinga imara dhidi ya magonjwa na ubongo mkubwa ukilinganisha na wale wanaoanza kupewa chakula au maji kabla ya muda huo.
Andaa pesa ya tuition kama utashindwa kumnyonyesha mtoto miezi sita mfululizo bila kitu chochote hata kama umempeleka international schools.
Ukitaka mtoto mmwenye afya imara na akili nyingi anza kwa kumuandaa mke wako kabla ya kumpa mimba na pia lea mimba kwa upendo na uaminifu mkubwa. mkinge mkeo na magonjwa yanayozuilika akiwa mjamzito. Baada ya mimba mpe malezi mazuri akizaa mpaka miaka miwili kwa maana ya chakula.
Nawaasa watu kuuiga pia utamaduni wa wachaga katika kulea mke akizaa na utamaduni wa wairaq katika kulea mimba..
0 comments:
Post a Comment