Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya Uganda. Huu ulikuwa ni mchezo wa kuamua ni timu ipi kati ya hizo itacheza fainali na Mtibwa Sugar January 13. Mchezo ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, hapo ndipo sheria ya mikwaju ya penati ilitumika kumuondoa Yanga mashindano kwa kukubali kipigo cha penati 4-3.
Mtu wangu hii hapa chini ni video yenye magoli ya mchezo huo pamoja na mikwaju ya penati
0 comments:
Post a Comment