LAZIMA UKAE: Avua NGUO Zote Hadharani Ili Asikamatwe na Polisi Baada ya Kuvunja Sheria za Barabarani!


Katika maisha watu wana mbinu nyingi za kuhakikisha malengo au mipango yao inafanikiwa kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mtu wangu wa nguvu katika pita pita zangu mitandaoni nikaingia lindaikejeblog. Tanzania tumezoea kuona madereva wa daladala wakiwashawishi traffic kwa njiani tofauti tofauti ili kukwepa adhabu au faini.

Hii imetokea Lagos Nigeria dereva wa basi, baada ya kuvunja sheria za barabarani akaamua kuvua ngua na kutoka nje basi mbele askari ili tu basi lake lisichukuliwe na kupekwa kituo cha polisi, licha ya kutumia mbinu hiyo ya kuvua nguo haikusaidia kuokoa gari lake lisikamatwe. Haijaeleweka mara moja alilenga nini hadi akaamua kuvua nguo.



Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment